Tigo Fiesta 2019 _SaiziYako Muleba ,burudani mwanzo mwisho

Msanii wa Bongo fleva Maua Sama, akitoa burudani kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.

 

Bill Nas na Nandy wakitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta

Msanii wa Bongo fleva Dogo Janja,akitoa burudani

Baadhi ya mashabiki wakionyesha shangwe la levels za Saizi Yako kwenye tamasha la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera

Saida Karoli na Chege Chigunda, wakitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta mjini Muleba mkoani Kagera.


Loading...

Toa comment