Tigo Ilivyoandaa Iftar Wilayani Tunduru Kwaajili ya Wateja Wake



Samwel Chanai-Meneja Mauzo wa Tigo Mkoa wa Iringa akiteta jambo na Mwangaza Matotola-Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja (Tigo) katika hafla ya iftar iliyoandaliwa na Tigo, Wilayani Tunduru kwaajili ya wateja wake, kulia ni Laverty Khana-Meneja wa Tigo kanda ya Kusini.