The House of Favourite Newspapers

Tigo Walivyotambulishwa Bungeni Leo

0
TIGO BUNGENI: Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti na Mahusiano na Serikali wa Tigo, Sylvia Balwire akitambulishwa bungeni baada ya maswali na majibu katika mkutano wa 12, kikao cha 29 leo Ijumaa Mei 19, 2023, ambapo bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ilikuwa inawasilishwa.                                                                                                                                                                       Katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo, imeweka banda mahususi litoalo huduma na kuuza bidhaa zake mbalimbali kwa wabunge ikiwemo simu janja ili kila Mtanzania aweze kujipatia simu kwa mkopo wa malipo ya Tsh 1000/siku ili aishi maisha ya kidigitali sambamba na kuendelea kufikisha huduma za mawasiliano maeneo ya vijijini kwa ushirikiano kati yake na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF).
Leave A Reply