The House of Favourite Newspapers

Tigo Wasaini Mkataba Mpya Awamu Ya 8 Kupeleka Mawasiliano Kata 371

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtandao wa simu za mkononi ya Tigo, Kamal Okba kulia na Katibu Mkuu wa MICIT, Khamis Abdula wakionesha mikataba baada ya kutiliana saini. 
Tukio la utilianaji saini lilivyofanyika.

Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo imesaini mkataba mpya wa awamu ya 8 wa kufikisha huduma za mawasiliano maeneo ya vijijini kwa ushiriikiano kati ya Tigo na Mfuko wa mawasiliano kwa wote(UCSAF). Kwa ujumla Tigo wanatarajiwa kujenga na kuboresha minara 409 katika kata 371 za vijijini hapa nchini.

Leave A Reply