Tigo Yahitimisha Promosheni ya Tigo Pesa Wakala Push kwa Zawadi
![](https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/01/Screen-Shot-2021-01-13-at-13.05.59.png)
VUKA LENGO NA USHINDE: “Ili kuwa mshindi, kila wakala alitakiwa kuvuka lengo alilopewa kulingana na historia ya miamala yake ya kila siku.
Zaidi ya mawakala 4,000 walifanikiwa kuvuka malengo yao na kushinda zaidi ya shilingi milioni 400.” Alisema Angelica Pesha, Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa TigoPesa Ni Zaidi Ya Pesa TigoPesa Wakala Push
TIGO PESA BOOST MTAJI!: “Nawashukuru Tigo kwa kuwa kupitia TigoPesa Wakala Push wameweza kuniboost mtaji wangu” Piason Baruti, Wakala Tigo Pesa na Mshindi wa Milioni 1.5
![](https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/01/Screen-Shot-2021-01-13-at-16.52.25.png)
WASHINDI KANDA ZOTE! Tumepata washindi kutoka kanda zetu 4, Pwani, kanda ya Ziwa, Kanda ya Kusini na Kanda ya Kaskazini. Na hawa ni washindi waliofanya vizuri zaidi katika Kanda ya Pwani.
NIMEONGEZA MTAJI: “Kupitia promosheni hii ya Tigo mtaji wangu umeongezeka hivyo nimeweza kuwahudumia wateja wengi zaidi” Neema Swai-Wakala Tigo Pesa; Mshindi Milioni 1.2