HabariKitaifa Tigo yasajili laini za watumishi wa Umma Dodoma Last updated May 17, 2019 Share Afisa usajili laini za simu kutoka kampuni ya Tigo Regan Emmanuel (wa kwanza kulia), akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumba mjijini Dodoma jana. Kushoto ni afisa mwingine wa Tigo Jackson Jerry akimsajili mteja. Afisa usajili laini za simu kutoka kampuni ya Tigo Regan Emmanuel (wakwanza kulia), akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumba mjijini Dodoma jana. Kulia kwake ni afisa mwingine wa Tigo Jackson Jerry. Afisa usajili laini za simu kutoka kampuni ya Tigo Regan Emmanuel(kushoto), akisajili laini ya mteja wa kampuni hiyo kupitia utaratibu mpya ya usajiliwa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumbamjijini Dodoma jana. Kulia ni afisa mwingine wa Tigo Placida Jamson Maafisa wa Kampuni ya Tigo wakisajili laini za simu za watumishi wa Umma kupitia utaratibu mpya ya usajili wa laini za simu kwa njia ya alama za vidole katika mji wa Kiserikali wa Mtumba mjijini Dodoma jana. Share
Comments are closed.