Timu Zilizoingia 16 Bora ya UEFA
Usiku wa December 6 2017 michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 ilimalizika rasmi kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya na sasa tumezifahamu jumla ya timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League.
Comments are closed.