TIWA SAVAGE Akata MAUNO Stejini Wasafi Festival (Picha + Video)

Tiwa Savage.

Msanii kutoka Nigeria, Tiwa Savage usiku wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 amefanya shoo ya aina yake nchini Tanzania kwa mara ya kwanza katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.

Akiwa stejini msanii huyo amecheza kwa kukata mauno kitu kilichopelekea mashabiki kumshangilia mwanzo mwisho.

…Akikata mauno stejini.

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL


Loading...

Toa comment