The House of Favourite Newspapers

Tony Rashid Alivyopigwa na Msauzi Raundi ya Mwisho – Video

0

Bondia wa Mtanzania ameshindwa kuutetea mkanda wa ABU dhidi ya bondia Bongani Mahlangu raia wa Afrika Kusini.

 

Gumzo limeendelea katika mitandao ya kijamii baada ya bondia Tony Rashid kupoteza pambano lake kwa KO ya raundi ya 12 na bondia mzoefu kutoka nchini Afrika Kusini Bongani.
Tony aliweza kucheza vyema kwa raundi zote kabla ya kukutana na konde zito la chini ya kidevu lililomaliza shughuli katika raundi hiyo ya mwisho.

Leave A Reply