TRA: Leo Septemba 30, 2024 ni mwisho wa kulipa kodi ya mapato ya awamu ya tatu
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inawakumbusha walipa kodi wote kuwa leo Septemba 30, 2024 ni mwisho wa kulipa kodi ya mapato ya awamu ya tatu.
Endapo huwezi kutengeneza namba ya malipo, tembelea ofisi za TRA ambazo zitakuwa wazi hadi saa 11:00 jioni.