TRA Yatoa ufafanuzi kuhusu shambulio la gari na watumishi wake
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu shambulio la gari na watumishi wake, tukio lililotokea usiku wa jana, Desemba 5, 2024 katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam.