The House of Favourite Newspapers

Trump Asisitiza Kujenga Ukuta Kuzuia Wahamiaji

0

160221022052_sp_donald_trump_624x351_reuters

Mgombea Urais wa Chama cha Rupublican nchini Marekani, Donald Trump amesema kuwa atabuni mfumo ambao utasaidia serikali yake kudhibiti uhamiaji haramu.

Akizungumza wakati wa kampeni katika Jimbo la Iowa, Trump alisema kuwa mfumo huo utasaidia kuwatimua watu ambao wanaishi nchini Marekani licha ya muda wa visa zao kumalizika.

Donald-Trump

Pia alirejelea wito wake wa kujengwa ukuta kati ya mpaka wake na Mexico kuwazuia wahamiaji.

Leave A Reply