visa

Tshishimbi Amaliza Mkataba Yanga, Anasepa Simba? – Video

CAMERA za Global TV zimemnasa msakata kabumbu wa Klabu ya Yanga, Papy Tshishimbi, na kuzungumza nae kuhusiana na ishu mbalimbali za soka katika kipindi hichi ambacho Ligi Kuu Tanzania bara imesimama kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona.

 

Je, vipi kuhusu mkataba mpya? Kwa nini hajasaini mpaka sasa? Anaeleka Simba Sc? Majibu yote yapo #GlobalTVOnline.
Toa comment