Tsunami yaikumba New South Wales, Australia
Mawimbi ya bahari yakikutana.Wingu zito ndani ya Uwanja wa AllianzNdege ya Qantas Boeing 737-800 ikisafiri juu ya wingu zito kuelekea New South Wales huku mvua kubwa ikinyesha.Watalii wakitazama mawimbi hayo.Usafiri wa boti ukisuasua
Giza likitanda kwenye uwanja wa mpira wa Allianz kabla ya mechi ya raundi ya tano ya A-League kati ya Sydney FC na Brisbane Roar jana.Mawingu ya Tsunami yakipita kwenye nyumba za wakazi wa Sydney
Mawingu ya Tsunami yakipita kwenye nyumba za wakazi wa Sydney
Mawingu ya Tsunami yakipita ufukwe wa Rose BayTsunami lilivyotandaMawingu ya Tsunami yakipita Ufukwe wa Coogee
Ufukwe wa Bondi
New South Wales
Tsunami la aina yake limeikumba pwani ya New South Wales huko Australia jana kuanzia majira ya mchana hadi jioni.
Wataalam wa hali ya hewa nchini humo wamesema kuwa, Tsunami la aina hiyo (lililotokea jana) wenyewe wakiliita ‘Arcus Tsunami’ husababishwa na mgongano wa kingo za mawingu na kupelekea kuzalishwa kwa nishati mwendo yenye nguvu na kasi kubwa ambayo.
Nishati hiyo ikisafiri kutoka eneo moja kwenda jingine husababisha madhara makubwa, kuleteleza uharibifu wa vitu, mazingira, kubadili kasi na uelekeo wa mkondo wa bahari na upepo.
Aidha kutokana na Tsunami hilo, hakuna vifo wala majeruhi walioripotiwa mpaka sasa.