The House of Favourite Newspapers

Nafasi ya kazi TTCL, Mkaguzi wa ndani mwandamizi

0

POST MKAGUZI WA NDANI MWANDAMIZI – 1 POST
POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL)
APPLICATION TIMELINE: 2021-06-11 2021-06-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
QUALIFICATION AND EXPERIENCE i.Awe ni mwajiriwa katika Utumishi wa umma,

ii.Awe na Shahada ya kwanza katika Uhasibu, Fedha, Usimamizi wa biashara/ Biashara inayojumuisha Uhasibu au Fedha au

sifa sawia kwa Taasisi inayotambuliwa pamoja na CPA (T), ACCA, ACA, CIA au sifa sawia ya kitaalam inayotambuliwa na

NBAA.

 

iii.Uzoefu wa kazi wa angalau miaka saba (7) katika faniĀ  inayohusiana

 

REMUNERATION TTCS 7

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave A Reply