The House of Favourite Newspapers

Tuhuma za Ufisadi, Zitto, Bashe Wajiuzulu Ujumbe Kamati ya Bunge

0
zitto_pac
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishutumu Kamati ya Bunge yaHuduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa.
Alichokiandika Zitto: “Kutokana na shutuma hizo ameamua kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.”
Hii  ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
1
bashe.jpg

Naye Mbunge wa Nzega Mjini, ametoa shutuma kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa.

Kutokana na shtuma hizo, Bashe ameamua kuungana  na  Zitto Kabwe  kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.
Hii  ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge

2

Leave A Reply