The House of Favourite Newspapers

TUJIKUMBUSHE: Marehemu Masogange Alivyohukumiwa Kwenda Jela! (Video)


TUJIKUMBUSHE: Marehemu Agness Masogange, alivyohukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Tsh. Milioni 1.5, kwa kosa la kutumia madawa ya kulevya aina ya heroin.

 

Msanii huyo alikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Februari 15, 2017, akituhumiwa kuhusika na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya. Masogange alikuwa miongoni mwa watu maarufu waliotajwa kwenye orodha ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wakati akipambana na biashara haramu ya madawa ya kulevya.

Comments are closed.