The House of Favourite Newspapers

Tume Ya Madini Kuzima Mfumo wa Zamani Ili Kuruhusu Mfumo Ulioboreshwa Kufanya Kazi

Tume ya madini inautaarifu umma wa watanzania kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa utoaji na usimamizi wa leseni za madini (Landfolio) ambapo matengenezo hayo yanatarajiwa kuanza leo Jumatano Oktoba 30 kuanzia saa 1:00 usiku na kuendelea hadi Oktoba 31 saa 3:00 usiku.