TUMIA MAJI YA WARIDI KUMFANYA ASIISHIWE HAMU FARAGHA

WANAUME wengi, hasa waliopo kwenye ndoa, wamekuwa wakilalamikia tatizo la wake zao, kukosa hamu ya kuwa nao faragha.

 

Ni kawaida kusikia mwanaume akilalamika kwamba mkewe hampi haki yake kila anapohitaji, wengine kwa wiki mara moja, wengine mara moja baada ya wiki mbili na wengine mpaka mwezi unaisha ‘bila-bila’. Zipo mbinu zinazoweza kumaliza kabisa tatizo hili, na ukamfanya mkeo akawa anatamani kuwa na wewe hata kila siku mpaka uchoke mwenyewe.

MAHITAJI

– Mafuta ya mzaituni (olive oil)

– Maji ya waridi (rose water).

– Mshumaa mwekundu

– Msandali (sandalwood).

– Asali

Kaa sehemu iliyotulia kama chumbani, chukua mshumaa mwekundu na uuwashe, chukua asali na iweke kwenye chombo ambacho kinaweza kutumika kuipasha moto kidogo, kama kikombe cha chuma au bakuli, sogeza kwenye mshumaa na iache ipate moto kidogo.

Wakati inapata moto, nuiza maneno unayotaka yatokee, kwa mfano ‘nataka mke wangu asiishiwe hamu na mimi faragha’ au maneno yoyote utakayoyachagua, yaseme kwa kurudiarudia mara tano huku asali ikizidi kupata moto.

Itoe asali na uiweke kwenye chupa ndogo, mimina matone mawili ya mafuta ya mzaituni na tone moja la maji ya waridi, kisha chukua unga kidogo wa msandali na changanya pamoja. Changanya mpaka uhakikishe mchanganyiko wote umechanganyikana vizuri.

Hifadhi vizuri mchanganyiko huu na tafuta ‘timing’ nzuri ya kumpaka kiasi kidogo cha mchanganyiko huo kwenye sehemu zake za siri bila mwenyewe kugundua kinachoendelea. Unaweza pia kumchanganyia kiasi kidogo kwenye lipstick yake, baada ya hapo kaa na usubiri, utaona matokeo yake

Loading...

Toa comment