The House of Favourite Newspapers

Tumia Simu Kubet Upate Sh Milioni 100

0

KUTUMIA simu ya mkononi katika mitandao ya makampuni matatu, unaweza kufanya huduma zako za kubashiri matokeo na kujiingizia fedha kadiri uwezavyo kwa kufuata mchakato kadhaa.

 

Huduma ya USSD Kwa kutumia mfumo wa USSD ambao unakuwezesha kubashiri kwa kutumia simu, unatakiwa kufuata mchakato ufuatao, kumbuka huduma hii inapatikana kupitia mitandao ya Airtel, Tigo na Vodacom.

 

Piga *148*89# Kisha utakaribishwa ndani ya huduma za Sokabet kwa ujumbe wa ‘Karibu Sokabet’ na utapewa orodha hii: 1. Bet na Odds za mpira 2. Jackpot Bets 3. Weka pesa 4. Toa pesa 5. Salio 6. Mkeka 7. Msaada 8. Jisajili Ujumbe Mfupi wa Simu (SMS) Kupitia SMS pia unaweza kufanya yako katika Sokabet katika mitandao ya Tigo, Airtel na Vodacom. Unachotakiwa ni kutumia namba 15800.

 

Kwa kutumia namba 15800 unaweza kuitumia kujisajili kama bado hujajisajili, cha kufanya andika neno Sokabet kisha tuma kwenda namba hiyo, pia unaweza kuingia sehemu ya kuandika SMS katika simu yako na kupata huduma zifuatazo:

 

KUBET MECHI MOJA

(Single Bet) Mfano: Arsenal washinde Andika Neno Bet <Acha Nafasi>Code ya Mechi>Ubashiri*kiasi cha
pesa>TUMA KWENDA 15800 Mfano: Bet 28983#2*1000 TUMA KWENDA 15800 Kumbuka namba 2 hapo inamaanisha timu ya ugenini ndiyo itakayoshinda, namba moja ya nyumbani ndiyo itashinda, na kama ni sare unaweka X. Namba 28983 ni code namba ambayo inapatikana kwenye tovuti ya Sokabet au gazeti kuhusu mchezo husika.

 

KUBET MECHI ZAIDI YA MOJA

(Multiple Bet)  Bet<AchaNafasi>CodeyaMechi >Ubashiri+CodeyaMechi>Ubashiri +CodeyaMechi>Ubashiri*kiasi cha pesa>TUMA KWENDA 15800 Mfano: Arsenal + Monaco + Fulham Bet 28983#2+28916#1+29911#X*1000

 

KISHA TUMA KWENDA 15800. Muhimu: Kama mteja ana ofa ya freebet ya kawaida ambayo siyo ya Jackpot akihitaji kuitumia ataanza na neno FB na kuendelea na mpangilio kama kawaida. Mfano FB 28983#2+28916#1+29911#X*1000 KUMBUKA: Unapoweka BET unaacha nafasi moja tu, unapokuwa umeandika BET/FB unapoendelea usiache nafasi.

ALAMA ZA UBASHIRI

 

#1: TIMU YA NYUMBANI KUSHINDA (HOME WIN) #X: DROO (DRAW) #2:

TIMU YA UGENINI KUSHINDA (AWAY WIN) #GG: Timu zifungane kila moja ipate goli kwenye huo mchezo bila
kujali matokeo ya mwisho. #NG: Timu zisifungane yaani kusiwe na bao kabisa au timu moja tu ndiyo ipate goli bila kujali matokeo ya mwisho.

 

TUMIA 15800 KWA KUPATA HUDUMA NYINGINE

Unaweza kuitumia namba 15800 kupata huduma nyingine kadhaa, mfano kama umesahau PIN yako ya akaunti, kuangalia salio na mengine mengi: PIN = Tuma neno PIN kwenda 15800. SALIO = Tuma neno SALIO kwenda 15800. SOKABET = Kujiunga na Sokabet tuma neno SOKABET kwenda 15800. TOA = Kutoa pesa kutoka akaunti ya Sokabet kwenda M-pesa/Tigopesa/Airtel Money andika neno TOA acha nafasi kisha kiasi tuma kwenda 15800. MFANO: Toa 2000.

JACKPOT BET JP = kucheza Jackpot andika neno Jp acha nafasi kisha weka bashiri za Jackpot. Mfano: Jp 12121212XXX1212*1000 TUMA KWENDA 15800. FJP = Kama mteja ana freebet ya Jackpot na anataka kuitumia ataanza na neno hilo, mfano: FJP 12211122112XX1X1*1000 TUMA KWENDA 15800 LISTJP = Kupata orodha ya michezo ya Jackpot uliyocheza andika LISTJP na TUMA KWENDA 15800.

Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

Leave A Reply