The House of Favourite Newspapers

Tunda atafunwa na skendo ya madawa

0

11849996_467289736729465_1959338069_n ‘Video Queen’ mwenye mvuto Bongo, Tunda Koplo.

Stori: Imelda Mtema

SKENDO ya madawa ya kulevya imemtafuna ‘Video Queen’ mwenye mvuto Bongo, Tunda Koplo akidaiwa kutumia mpaka kiasi cha shilingi milioni moja kwa siku kwa ajili ya kununulia kilevi hicho.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mrembo huyo amefundishwa matumizi ya madawa hayo na msanii wa Bongo Fleva (jina tunalihifadhi kwa sasa).
Hata hivyo, alipoulizwa mrembo huyo, alikanusha vikali madai hayo:
“Jamani nahisi huo ni wivu tu watu wanapenda kumzungumzia mtu bila kumjua alivyo kiundani mimi situmii madawa.”

Leave A Reply