Tunda atangaza ndoa na Young D

tunda (2)
Imelda mtema

Video Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa yao itafungwa soon.

youngAkiongea na Ijumaa, Tunda alisema kuwa ni kweli yuko katika kisiwa cha mapenzi na mwanamuziki huyo na kuweka wazi hisia zake kuwa anampenda sana na kumthamini tofauti na watu wanavyo muongelea.

“Ni kweli niko na D na ninampenda sana, Mungu akipenda tutakuwa mwili mmoja soon kwa sababu nimempima na kuona ndio mwanaume mwenye nafasi kubwa kwenye moyo wangu,”alisema Tunda.


Loading...

Toa comment