The House of Favourite Newspapers

Tunda awatoa watu povu ile mbaya!

 

VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebastian amesema amewaona watu jinsi wanavyotokwa mapovu ile mbaya baada ya kufuta picha zote za mpenzi wake, Whozu kwenye ukurasa wake wa Instagram. Akistorisha na Gazeti la Ijumaa, Tunda alisema Whozu si mpenzi wake hivyo akitaka awepo kwenye ukurasa wake atakuwepo na asipotaka hatakuwepo hivyo watu waache kumzungumzia kwa lolote.

“Whozu si mpenzi wangu, nilimuweka kwenye jamii mimi mwenyewe watu wamuone hivyo wakiona nimemuondoa, wanyamaze,” alisema Tunda ambaye siku zote mwanaume akimzingua anampiga chini.

Stori: Imelda Mtema

Comments are closed.