TUNDA: PIERRE ANAKATA STRESS ZANGU

Tunda na Peter Mollel ‘Pierre Konki Liquid’

MUUZA nyago maarufu Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema hakuna mtu anayemtoa stress kama mchekeshaji maarufu wa mtandaoni Peter Mollel ‘Pierre Konki Liquid’ kutokana na vituko vyake. 

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Tunda alisema kuwa mara nyingi anapokuwa amekwazika, akiongea au kukaa na Pierre, hupata faraja ya aina yake.

“Unajua unaweza ukawa na mawazo na hujui yatatoka vipi, kwa kweli kwa mimi Pierre anamaliza mawazo yangu yote. Nikiona sipo sawa, huwa naona bora nimfuate popote alipo ili tu niwe sawa,” alisema Tunda.


Loading...

Toa comment