The House of Favourite Newspapers

Tunda: Sijui Walikwama Wapi Whozu Ameweza

0
Anna Kimario ‘Tunda’

VIDEO Vixen mwenye vituko lukuki Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema anashindwa kuwaelewa wanaume wengine waliopita katika mahusino yake wamekwama wapi kwani mpenzi wake wa sasa, Peter Mlay ‘Whozu’ ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva amemmudu na kudumu naye takriban mwaka mzima.

 

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Tunda amesema siku zote mtu anaposhindwa kukaa na mwanamke ajue wazi na yeye ana matatizo hivyo wanaume wengine wajifunze kutoka kwa Whozu.

 

“Mimi nashangaa sana utasikia Tunda hawezi kukaa na mwanaume sasa Whozu amewezaje kukaa na mimi muda wote? Waje kuchukua ujuzi kwa Whozu,” alisema Tunda.

Stori na Imelda Mtenda

Leave A Reply