Tuzo za MO Simba: Kigwangalla Awachana Wapinzani – Video
WAZIRI wa Maliasiri na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye ni mkerekletwa wa Klabu ya Simba, amewachana wapinzani wa klabu hiyo wakati wa uagawaji wa Tuzo za MO Simba zilizotolewa jana usiku katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Msikie Kigwangalla akifunguka


Comments are closed.