Tuzo za MTV EMA: Mpigie Kura Harmonize Hapa

UMESHAMPIGIA kura? Kama bado ni wakati wako sasa wa kumpigia kura staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ili aweze kuipeperusha bendera ya Tanzania kupitia Tuzo za MTV EMA.

 

Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Novemba 3, 2019 mwaka huu katika Jiji la London ambapo Harmonize anashindani Kipengele cha Msanii Bora wa Afrika akishindana na wakali wengine kama vile Burna Boy kutoka Nigeria, Toofan kutoka Togo, Teni wa Nigeria, Nasty C kutoka Afrika Kusini pamoja na Prince Kaybee kutoka Afrika Kusini.

 

Jinsi ya kumpigia kura Harmonize bonyeza hapa =>BEST AFRICAN ACT

Kumbuka, unaweza kumpigia kura Harmonize mara nyingi zaidi kwani kupiga kura ni kila baada ya sekunde 5.

HARMONIZE – MAGUFULI (KWANGARU REMIX)


Loading...

Toa comment