The House of Favourite Newspapers

Twanga Watoa Burudani Ya ‘Kukata na Mundu’ Dar Live

0
Mwimbaji mahiri na kiongozi wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Nyoni Mbutu, akifanya yake kwenye shoo ya Full Dozi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.
Wanamuziki wa Twanga Pepeta wakiwa kazini jana.
Mwimbaji Ali Choki akitekeleza wajibu wake stejini.
Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakiongozwa na Super Nyamwela (aliyenyoosha mkono juu) wakitoa burudani kwa mashabiki Dar Live.
…Wakiendelea kuwapagawisha mashabiki.

USIKU wa kuamkia leo bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ walitoa burdani ya kukata na mundu katika ukumbi maarufu wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam wakiwa wanashiriki katika tamasha maalum lililopewa jina la Full Dozi.

 

Twanga Pepeta waliongozwa na Luiza Mbutu, Ali Choki na Super Nyamwela ambapo walionyesha manjonjo kibao yaliyowaacha ‘hoi’ mashabiki hadi majogoo yanawika.

Leave A Reply