The House of Favourite Newspapers

Tyga ‘ashambuliwa’ na Amber Rose

0

Staa wa Hip Hop, Michael Ray Nguyea’n-Stevenson ‘Tyga.

New York, Marekani

STAA wa Hip Hop, Michael Ray Nguyea’n-Stevenson ‘Tyga juzi kati ‘ameshambuliwa’ kwa maneno na mwanamitindo maarufu, Amber Rose kuwa ni msaliti.

Amber Rose.

Katika mahojiano na Jarida la GQ, Amber aliweka wazi kuwa Tyga ni msaliti mkubwa na kwamba aliweza kumsaliti mchumba wake, Kylie Jenner kwa kuendelea kuchati na mchumba wake wa zamani, Blac Chyna.

“Wakati nikiwa na Blac, Tyga alikuwa akimsumbua kwa kumtumia meseji na moja ya meseji ilikuwa ikisema kuwa anataka kuirudisha upya familia yake wakati yupo katika uhusiano mwingine na Kylie,” alisema Amber.
Tyga ana mtoto mmoja, King Cairo aliyezaa na Blac.

 

Leave A Reply