The House of Favourite Newspapers

Uamuzi wa Serikali Kuhusu Adhabu kwa Gazeti la Nipashe Jumapili

Serikali imeridhia kampuni ya IPP Media kusitisha uchapishaji wa gazeti la Nipashe Jumapili kwa miezi mitatu na kuomba radhi binafsi kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.

Comments are closed.