The House of Favourite Newspapers

Uchaguzi Kenya: Mgombea Urais Kupitia Azimio, Raila Odinga Afanikiwa Kumpita William Ruto

0

Mgombea Urais kupitia Azimio, Raila Odinga amefanikiwa kumpita William Ruto kwa idadi ya Kura baada ya kuwa nyuma kwa Saa kadhaa

Hadi kufikia leo saa 6:30 mchana Odinga alikuwa na kura 6,431,752 (49.46) akifuatiwa na William Ruto mwenye Kura 6,389,957 (49.14%)

Prof. Wajackoyah Kura 56,430 (0.43%) na Mchungaji David Waihiga alikuwa na Kura 28,973 (0.22%). Kwa mujibu wa Citizen mpaka sasa jumla ya Kura 12,907,112 kati ya Milioni 14 zimehesabiwa.


Leave A Reply