UCHAGUZI KENYA: RAILA  AMOLO ODINGA AU UHURU KENYATTA?

uchaguazi kenya: uhuru kenyatta au raila odinga

Raila Odinga na Uhuru Kenyatta

MIAKA kumi iliyopita, Kenya ilishuhudia vurugu kubwa zilizosababishwa na uchaguzi. Ni vurugu hizo, pengine ndizo zilipelekea Wakenya watengeneze misingi imara ili kuepuka kujirudia kwa ghasia zile katika chaguzi zingine.

Hivi sasa, uchaguzi mkuu nchini Kenya unategemewa kufanyika tarehe 8 Agosti mwaka huu. Siku hiyo, Wakenya watamchagua rais wamtakaye. Ukizitazama harakati zilizopo kuelekea uchaguzi utagundua kwamba, jicho linatupwa kwa Raila Odinga na mwenzake Uhuru Kenyatta ambaye kwa wakati huu, ndiye rais.

Raila Odinga, kinara wa chama cha CORD, ni… BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Loading...

Toa comment