Mwakifwamba Ashinda Tena Urais wa Shirikisho la Filamu Tanzania
Wasanii wakiandikisha majina baada ya kuwasili ukumbini. Wasanii wa Bongo movie wakisubiri kuanza mchakato wa kumchagua rais wa Shirikisho la Filamu nchini. Ukumbi ulivyoandaliwa kwa ajili ya shughuli hiyo
Vyumba vya kupigia kura.
UPDATES
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba ameshinda tena kiti hicho kwa kupata kura 47 za ndiyo kati ya 50 zilizopigwa kwenye uchaguzi uliofanyika leo katika Ukumbi wa Urafiki uliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam.
Kura tatu za hapana zimepatikana huku mpinzani wake akijitoa kwa madai kuwa hakukuwa na maandalizi mazuri ya uchaguzi huo.
PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779