The House of Favourite Newspapers

Uchambuzi wa Oscar Oscar Stars Kufungwa na DR Congo – Video

0

Mchambuzi wa Soka nchini, Oscar Oscar amefunguka kiwango cha Taifa Stars baada ya kushindwa kutamba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kufungwa mabao 3-0, dhidi ya DR Congo katika mchezo wa kufuzu kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply