The House of Favourite Newspapers

UEFA: Barcelona Wamuadhibu Kocha Wao wa Zamani

1

Lionel Messi akishangilia mojawapo ya mabao yake.

2 3 4 5 6 7 8

KIKOSI cha Barcelona kikiwa nyumbani jana usiku kilimdhalilisha kocha wao wa zamani anayeifundisha Man city, Pep Guardiola kwa kumpa kichapo cha mabao 4-0.
Katika mchezo huo, mshambuliaji Lionel Messi alipiga hat-trick katika dakika ya 17, 61, 69 huku Neymar akifunga bao la nne dakika ya 89.

Beki wa Man city Claudio Bravo akilambwa kadi nyekundu pamoja na mlinzi wa Barcelona aliyeingia akitokea benchi Jeremy Mathieu naye akizawadiwa kadi hiyo nyekundu.

VIKOSI

BARCELONA: Ter Stegen, Mascherano, Umtiti, Pique (Mathieu), Alba (Digne), Rakitic, Busquets, Iniesta (Gomes), Neymar, Messi, Suarez

Waliokuwa benchi: Masip, Turan, Rafinha, Alcacer

MANCHESTER CITY: Bravo, Zabaleta (Clichy),Otamendi, Stones, Kolarov, Gundogan (Aguero), Fernandinho, Silva, Sterling, De Bruyne, Nolito (Cabellero)

Waliokuwa benchi: Fernando, Jesus Navas, Sane, Maffeo.

Yafutayo ni matokeo ya michezo mingine iliyopigwa jana;

uefa-new

Comments are closed.