The House of Favourite Newspapers

Uefa Yafuta Sheria ya Bao la Ugenini

0

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu barani Ulaya, UEFA limefuta sheria ya bao la ugenini, ambayo imetumika kwa miaka 56, Sheria hiyo, imetenguliwa  bodi ya Uefa iliyoketi jana ijumaa Mei 28.

 

Muundo wa  sasa  unatumika  kwenye michuano ya Amerika Kusini,  ambayo hakuna bao la ugenini.

 

Itakumbukwa kocha wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger aliwahi kulalamikia hadharani na kuitaka Uefa kuingalia upya sheria hiyo.

 

Msimu wa 2018/19 Manchester City na Ajax Amsterdam walikuwa wahanga wa sheria hii licha ya ushindi waliopata walitolewa nje ya michuano kwa goli la ugenini.

 

Leave A Reply