Ufafanuzi wa Polisi Kifo cha Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Kagera
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limefafanya kifo cha Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Tumsime, iliyopo Kata ya Kashasha, Tarafa ya Nshamba, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, Janeth Mbegaya (7).