The House of Favourite Newspapers

Ufaransa yashambulia ngome ya IS, Syria

0

FRECNH (1) Mabomu yakiripuka.FRECNH (2)Ndege za Kivita za Ufaransa zilizoshambulia Raqqa, Syria.FRECNH (3)Eneo la Mji wa Raqqa lililoshambuliwa na Ufaransa.

Raqqa, Syria

NDEGE za Kijesahi za Ufaransa zimefanya shambulio zito kwenye Mji wa Raqqa nchini Syria kuwalenga wapiganaji wa ISIS usiku wa kaamkia leo.

Shambulio hilo limekuja siku mbili baada ya Mji Mkuu wa Ufaransa, Paris kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wapiganaji wa kundi la ISIS na kusababisha vifo vya watu 129.

Ndege 10 za kivita za Ufaransa zilionekana kwa pamoja kuzingira anga la Mji wa Raqqa na kudondosha mabomu 20 karibu na eneo la kambi za wapiganaji wa kundi la ISIS.

Leave A Reply