The House of Favourite Newspapers

UGANDA: Museveni Kusaini Kunyongwa Walihokumiwa Kifo

Rais Yoweri Museveni amesema atasaini kuidhinisha kunyongwa kwa wahalifu waliohukumiwa adhabu hiyo, akidai ni njia mojawapo ya kujenga hofu kwa wahalifu.

Museveni amesema anachukua uamuzi huo baada ya kutofanya hivyo katika kipindi cha miaka 19 lakini sasa ameamua kubadili msimamo wake baada ya kuona kuwa wahalifu wanajiona wako huru kuendelea na vitendo vinavyovunja sheria.

SOURCE: www.washingtonpost.com

Uganda’s Leader to Sign Death Warrants Again After 19 Years

 

BREAKING: HATIMAYE CHADEMA WARUDI KWENYE UCHAGUZI, WACHUKUA FOMU

Comments are closed.