The House of Favourite Newspapers

Ugeni Mpya Umewasili Kwa Remy Ma na Papoose

 

Mahusiano ya muda mrefu ya rapa wa kike Remy Ma na mume wake Papoose, yamefanikiwa kuwaonyesha furaha waliokuwa wakiitaka baada ya siku ya December 14 kupata mtoto wa kike.

 

Kupitia akaunti ya Remy Ma ya instagram ameweka post inayosomeka, “It’s  a girl” (ni wakike) huku ikiwa na manono yanayosomeka, “Mtoto wa bahati huyu hapa, nashukuru Papoose kwa kunifanya mimi mke mwenye furaha katika sayari hii.

 

The Golden Child is here!!! Thank you @papoosepapoose for making me the the happiest wife in the planet🥰 #BlackLove #RemAndPap #BabyMackie #ShesMADDDDcute😢

425.5k Likes, 36.7k Comments – Remy Ma (@remyma) on Instagram: “The Golden Child is here!!! Thank you @papoosepapoose for making me the the happiest wife in the…”

Taarifa za ujauzito wa Remy Ma wawili hao walianza kutangaza taarifa hizo toka julai mwaka huu huku wakiwa kwenye picha ya pamoja na familia na marafiki.

 

Wawili hao walifunga ndoa toka mwaka 2008 huku Remy Ma akiwa na mtoto wa kiume mwenye miaka 18, ‘Jayson’ kwenye mahusiano yaliyopita na kwa upande wa mume wake Papoose ana watoto 3 wa nje.

Comments are closed.