The House of Favourite Newspapers

UHAKIKI WA RIWAYA: TAKADINI (5)

0

 

matumizi ya lugha katika riwaya ya takadini
Takadini

 

MATUMIZI YA LUGHA KATIKA RIWAYA YA TAKADINI

Mwandishi kakitendea haki kipengele hiki. Matumizi ya lugha yameonekana katika nyanja tatu: Tamathali za semi, misemo nahau/methali na matumizi ya picha na taswira.

 

Tamathali za semi

Tamathali za semi husaidia kupamba lugha na kuifanya kazi iwe na mvuto. Tamathali za semi zikitumika ipasavyo, hazimchoshi msomaji.

 

Tashibiha.

Hizi hufananisha vitu viwili visivyo na hadhi sawa kwa kutumia viunganishi.

“Habari njema huchechemea kwa mguu mmoja lakini mbaya hukimbia kama sungura.”

 

Tashihisi.

Kitu kisicho mwanadamu kufanya kama mwanadamu.

“Maneno yananila mifupa yangu.”

 

Tafsida.

Hutumika kupunguza ukali wa maneno.

“Sehemu zake za siri.”

 

Sitiari.

Kulinganisha vitu visivyo na hadhi sawa bila kutumia viunganishi.

“Mwana mbwa hakuiba mfupa.” … BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Leave A Reply