The House of Favourite Newspapers

UKATILI: Kisa iPHONE Tu, AMUUA Baba Yake kwa SHOKA!! -VIDEO

Kijana mwenye umri wa miaka 23, ametiwa mbaroni kwa mauaji ya Baba yake mzazi aliyoyatekeleza kwa kumpiga na shoka na kichwa na kifuani baada ya mzazi huyo kuikanyaga kwa bahati mbaya simu yake aina ya iPhone na kuipasua.

Comments are closed.