Maajabu Ya Dunia Ndiyo Haya! Cheki Anachokifanya Huyu Jamaa (Video)
Edward Mjahilu, Power Simiyu, ni binadamu wa kipekee, jamaa anaweza kuzuia pikipiki mbili kwa kutumia mabega yake mawili huku akiwa na uwezo wa kuzuia pikipiki moja kwa kutumia kichwa.