The House of Favourite Newspapers

Umeinyaka Hii ya Birdman wa CashMoney Kutua Tanzania?

0

TAARIFA iliyotufikia kwenye dawadi letu la GlobalHabariUpdates ni kwamba, Rapper na Producer maarufu wa Marekani Bryan Williams ‘Birdman’ wa Kundi la CashMoney ambaye wakali wengi wa muziki wa Marekani wamepitia kwenye mikono yake wakiwemo; Lil Wayne, Nicki Minaj na Drake, ametangaza rasmi kuzuru nchini Tanzania.

Rapa huyo amezifagilia za Bara la Afrika kwa upendo ambao zinaomuonyesha kiatika ziara yake nchini kwake Nigeria, Kenya, Tanzania, Gambia na Ghana huku akieleza kuwa atazitembelea nchi hizo February 2018.

Mkali huyo anaingia kwenye rekodi moja na mastaa wengine wa Marekani waliowahi kuitembelea Tanzania wakiwemo Mtangazaji Oprah, Neyo, T.I, Rick Rose, 50 cent, Usher Raymond aliyezuru Tanzania hivi karibuni na wengine kibao.

Leave A Reply