‘Wakuone’ Ni Wimbo wa Ben Pol Kwa Mpenziwe? Usikilize Hapa!

 

‘WAKUONE’ ni wimbo mpya wa Ben Pol ambao umezua maoni kibao  kutoka kwa baadhi ya mashabiki wakisema kwamba kuna uwezekano amemuandikia mpenzi wake mpya raia wa Kenya, ‘Anerlisa’.

 

Audio imetengenezwa na Daxo Chali. Unaweza ukau-download baada ya kuusikiliza.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa.  Ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Isikilize hapa.

 

 

DOWNLOAD AUDIO|MP3

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment