visa

Unajua kwa nini mimba inatunga nje ya kizazi?-3

pregnantwomansleeping.jpgWiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii sehemu ya mwisho. Naamini  wapenzi wasomaji wa makala haya watakuwa wamejifunza na wataendelea kujifunza zaidi…

Yai moja likipandikizwa nje ya Uterus na jingine ndani. Katika aina hii ya Ectopic Pregnancy, uwezekano wa yai lililotungwa ndani ya Uterus kukua na kutoa mtoto ni  mkubwa sana.

Mimba zinazojirudia kutunga nje ya mfuko wa uzazi

Wakati fulani hutokea kuwa, hata baada ya operesheni ya kuondoa mimba iliyotunga nje ya mfuko wa uzazi kufanyika, baada ya muda fulani seli za kiinitete huendelea kukua na kujitengeneza tena kufanya kusanyiko la seli kama mimba nyingine. Hali hii huitwa mimba zinazoendelea kutunga nje ya mfuko wa uzazi Persistent Ectopic Pregnancy.

Kuna njia za kuepuka tatizo hili hivyo ni vema ukafuatilia makala haya pia kama utakuwa na tatizo hili au mengine mengi unaweza kufika Kliniki ya Sigwa Herbal ambao ni mabingwa wa kutatua matatizo mbalimbali katika mfumo wa uzazi wa mwanamke na mwanaume, unaweza ukawatembelea katika vituo vyao kama vilivyoahinishwa sehemu mbalimbali hapa nchini Tanzania kama ifuatavyo:

Bukoba, Njombe, Singida, Dar es Salaam, Moshi, Tanga, Mwanza, Mbeya, Arusha, Kahama, Kigoma, Dodoma na Morogoro.
Toa comment