Unaweza Kuibuka na Ushindi wa Hadi Mara1000 ya Dau Lako Meridianbet!
Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa wapi hizi shilingi zinatoka. Jibu ni rahisi sana, sloti hii ya Foxpot inakujia na Jackpoti tatu kubwa na Mbweha akiwa kama alama ya malipo ya Wild. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ni sehemu sahihi kwa wachezaji wa kasino!
Kutoka kwa mtengenezaji mahiri wa michezo ya kasino ya mtandaoni, Microgaming wanakuletea sloti ya Foxpot ambayo ina bonasi za kumwaga, zawadi za pesa za papo kwa hapo, kurudia mzunguko wa bure na mazidisho ya mara 2 ya dau lako bila ya kusahau Jackpoti babkubwa!
Sio hayo tu, Kasino hii ya mtandaoni ya Meridianbet kupitia sloti ya Foxpot inakuletea Gurudumu la bahati ambalo litakupa fursa ya kushinda bonasi mbalimbali.
Unasubiri nini? ingia mchezoni kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet sasa na ufurahie ushindi kwa kupitia http://www.meridianbet.co.tz.
Jinsi ya Kucheza Sloti ya Foxpot
Ni rahisi sana! Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na kuchagua mchezo huu wa Foxpot ujishindie mamilioni!
Sloti hii ya Foxpot ina alama na machaguo mbalimbali. Ili ushinde, unatakiwa upate alama tatu zenye kufanana kwenye sloti hii yenye kolamu 5 na mstari mmoja wa malipo.
Kasino hii ya mtandoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali ambayo yanakupa fursa ya wewe mchezaji kuucheza mchezo huu kiurahisi. Kwa kubofya alama ya + na – ambazo zipo kwenye kitufe cha Bet, itakupa nafasi ya kuweka dau lako unalolitaka.
Kuna chaguo la Autoplay ambalo litakuwezesha wewe (mchezaji) kuzungusha mizunguko kiatomatiki. Alama za sloti hii ni ya matunda ambayo ni Cherry ambalo lina thamani ndogo, Zambarau ambalo litakurudishia mara 1.5 ya dau lako huku likufuatiwa na Ndimu ambalo litakulipa mara 2.5 ya dau uliloliwaka.
Endapo utapa alama 1, 2 au 3 za Lucky 7 basi utalipwa mara tatu ya dau uliloliweka huku alama moja ya Lucky 7 ikiwa ina uwezo wa kukulipa mara 10 ya dau lako, na alama 2 mbili za Lucky 7 zikitakurudishia mara 15 wakati alama 3, zitakurudishia mara 25 ya dau lako. Sio hivyo tu, kama ukipata alama ya Wild utarudishiwa mara 40 ya dau lako. Kumbuka, alama ya Wild inauwezo wa kubadilisha alama zozote kwenye mchezo huu na kukupatia ushindi isipokuwa alama ya bonasi. Unasubiri nini? Jiunge leo na Meridianbet na upate bonasi babkubwa, Odds za kubwa na Jackpoti kedekede kwa kutembelea tovuti yetu http://www.meridianbet.co.tz sasa!