The House of Favourite Newspapers

Ung’eng’e wamrudisha shule Ester

0

IMG20150317WA0032Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama.

Na Hamida Hassan

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama amesema kuwa kutokana na ugumu anaokutana nao kwenye kazi zake hasa linapokuja suala la kutumia Kiingereza amelazimika kurudi shule kwa ajili ya kujinoa zaidi.

Ester ameliambia Ijumaa kuwa, ameamua kujiunga na shule moja ya ung’eng’e Bongo akiamini kuwa, baada ya muda atakuwa anaongea Kiingereza vizuri na atafanya kazi zake sawia.

“Nafikiria kuwa msanii mkubwa sana hapo mbele sasa lugha ni kikwazo hivyo nimeona ni bora nijiongeze kwa mtindo huo,” alisema Ester.

Leave A Reply