The House of Favourite Newspapers

CAS: Kesi Ya Morrison Na Yanga Leo, Morrison Aomba Dua -Video

0

LEO JULAI 29, 2121 Jaji Patrick Stewart, raia wa Uingereza ataisikiliza kabla ya kuitolea uamuzi kesi ya klabu ya Yanga dhidi ya Bernard Morrison, huku klabu anayoichezea kwa sasa, Simba, ikisema kesi hiyo haiwahusu, bali ni ya pande hizo mbili.

 

Yanga imefungua kesi namba CAS 2020/A/7397 kwenye Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) dhidi ya Morrison ambayo leo itasikilizwa na Jaji Stewart, huku Simba ikisema wanaijua kesi hiyo, lakini haiwahusu kwani inawahusisha Yanga na Morrison.

Leave A Reply