The House of Favourite Newspapers

USAID Yasaini Mkataba Wa TZS Bilioni 11.8 Kuiunga Mkono Serikali Utekelezaji Wa Mfumo Wa M-mama

0
Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Nassor Ahmed Mazrui (katikati) akishuhudia makabidhiano ya mkataba kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Philip Besiimire (kulia) na kiongozi wa Ujumbe wa serikali ya Marekani kutoka USAID, Kate Somvongsiri (kushoto), uliosainiwa baina ya Vodacom Tanzania Foundation na USAID wenye thamani ya dola za kimarekani 5m (Zaidi ya TZS bilioni 11.8) kuiunga mkono serikali katika utekelezaji wa mfumo wa m-mama nchini. Hafla hii imefanyika leo jijini Dar es Salaam. m-mama inapatikana kupitia namba ya bure (115) mitandao yote kwenye mikoa 13 ya Tanzania bara na mitano ya Visiwani Zanzibar, ambapo zaidi ya akina mama 21,800 na Watoto wachanga wamesafirishwa, na takribani maisha 722 yameokolewa.                                                                                                      
Waziri wa Afya wa serikali ya mapinduzi Zanzibar, Mh. Nassor Ahmed Mazrui (katikati) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Philip Besiimire (kulia), na kiongozi wa Ujumbe wa serikali ya Marekani kutoka USAID, Kate Somvongsiri (kushoto), baada ya utiaji saini wa mkataba kati ya Vodacom Tanzania Foundation na USAID wenye thamani ya dola za kimarekani 5m (Zaidi ya TZS bilioni 11.8) ili kuiunga mkono serikali katika utekelezaji wa mfumo wa m-mama nchini. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. m-mama inapatikana kupitia namba ya bure (115) mitandao yote kwenye mikoa 13 ya Tanzania bara na mitano ya Visiwani Zanzibar, ambapo zaidi ya akina mama 21,800 na Watoto wachanga wamesafirishwa, na takribani maisha 722 yameokolewa.                                                                                                                                                            
Waziri wa Afya wa serikali ya mapinduzi Zanzibar, Mh. Nassor Ahmed Mazrui (wa pili kushoto) katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Vodacom Tanzania PLC, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo (wa kwanza kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Philip Besiimire (wa pili kulia) na Kiongozi wa Ujumbe waserikali ya Marekani kutoka USAID, Kate Somvongsiri (wa kwanza kushoto), baada ya utiaji saini wa mkataba kati ya Vodacom Tanzania Foundation na USAID wenye thamani ya dola za kimarekani 5m (zaidi ya TZS bilioni 11.8) ili kuiunga mkono serikali katika utekelezaji wa mfumo wa m-mama nchini. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. m-mama inapatikana kupitia namba ya bure (115) mitandao yote kwenye mikoa 13 ya Tanzania bara na mitano ya Visiwani Zanzibar, ambapo zaidi ya akina mama 21,800 na Watoto wachanga wamesafirishwa, na takribani Maisha 722 yameokolewa.
Leave A Reply